Je uganda ataisafishia stars njia katika group L?

Taifa star ileeeee cameroon kwa mgongo wa wadodo zetu uganda, na hii ndiyo sekenke, yaani tunatiririka cameroon kiulainiiii, sijui huko cameroon tutakuwa kichwa cha mwendawazim?
 
Back
Top Bottom