Je wanasayansi wanatambua nguvu ya uchawi?
dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpyaNtakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.
Ukweli ni kwamba story zote ulizosikia hapo juu hakuna hata moja yenye ukweli, na kama kuna mwenye proof aje mbele anionyeshe atapokea pesa chap chap. Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akichomwa moto anawaka tu, au akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile. Kama wana supernatural powers they might as well make themselves immortal.
Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela, na ambaye haamini aseme uchawi aliuona wapi ili tumsaidie kuprove kua alichokiona sicho anachodhani alikiona bali lazima kuna kitu kilitrick ubongo wake into thinking kua aliona kitu kumbe hakikutokea.
dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpya
ni kazi rahisi sana kuwadanganya watu kuliko kuwaambia mnadanganywa
.made in mby city.
Bado ninasubiri mtu aje na evidence, watanzania story za kwenye kahawa zinawaumiza sana, wengi wanaishi kwenye fairy tales tu.
Wabongo kila wakisikia neno uchawi wanapanick sana, nilishapigwa biti na watu kibao tu wananitishia kuniroga kwa kua nawapa live, hadi leo nazidi kufanikiwa, huo uchawi wao naona sijui ulikwama. Ukweli unabaki palepale tu, hakuna aliyeshuhudia live anything supernatural, tunadanganyana tu.

Hiyo evidence utajuaje kuwa ni evidence wakati huamini katika uchawi? Huo uchawi ukiletwa mbele zako utaamini kwamba huo ndio?
Ntakupa jibu ila najua wengi hawapendi kulisikia kwa kua binadamu kawaida hua anapenda kusikia kile anachokiamini au kitu fascinating hata kama hakina ukweli ndani yake, kwa hiyo proba kubwa atakayekuja na mambo ya uchawi humu ndani atabeba points nyingi pamoja na kua atakua anadanganya anaongea vitu ambavyo hata yeye proof hana.
Hakuna kitu kama mchawi kuzuia umeme usipite, nguvu ya umeme ipo kwenye atomic scale kabisa, sio kitu utasema mchawi ata-insulate, maswala ya kuanza kuamini wachawi wanaenda against the laws of physics ni uongo mtupu, mchawi akipigwa shoti ya umeme atasikilizia utamu wake vilevile.
Uchawi hakuna hua ni fix tu za kupiga hela,
Kwani uchawi ni nini?
Pia google mtu anaitwa slavisa alafu urudi uniambie kama theory yako ina apply kwa kila mtu.
Slavisa wapo wengi sana naomba uwe specific, google imenipa search results za majina tofauti, unamuongelea nani exactly?
Bado ninasubiri mtu aje na evidence, watanzania story za kwenye kahawa zinawaumiza sana, wengi wanaishi kwenye fairy tales tu.
Wabongo kila wakisikia neno uchawi wanapanick sana, nilishapigwa biti na watu kibao tu wananitishia kuniroga kwa kua nawapa live, hadi leo nazidi kufanikiwa, huo uchawi wao naona sijui ulikwama. Ukweli unabaki palepale tu, hakuna aliyeshuhudia live anything supernatural, tunadanganyana tu.
dreson4 a.k.a NullPointer naona watu wanakupinga lakini ni vyema umewapa vidonge vyao. ukiwauliza ushahidi wa uchawi wanabaki kuruka-ruka tu. ukiwaambia nilogeni ili niamini uchawi upo, basi wataanza kutunga story mpya
ni kazi rahisi sana kuwadanganya watu kuliko kuwaambia mnadanganywa
.made in mby city.
unataka kulogwa ?
au unataka kuuona uchawi
au unataka kuwaona wachawi ?