Duh!Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.
Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
Je, kwa nini tusiusome ktk masomo ya vyuoni kwa maendeleo ya umma?Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jpili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na tukaenda kufunga Camera za usalama kwa nyumba mpya ya Tajiri mmoja wa Kanda ya Ziwa. Huyu mjuba kajenga mjumba wa kuishi wa ghorofa mbili. Pale kwake pazuri asee, kama Ikulu ati.
Tatizo connection Ni ngum kupata walio wengi wangekua kwa LuciferNgoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri
Kwanza kuanzia Leo utambue hili, Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa utajiri wote wa duniani na fahari zake wazimiliki, lakini walipohasi kwa Mungu kwa kumsikiliza shetani, utajiri wote wa duniani ukawa ni Mali ya shetani, wanadamu hatumiliki tena utajiri wa hapa duniani.
Sasa ili kuwa tajiri una options mbili tu
(1) umuombe shetani akupe sehemu ya utajiri anaomiliki, hii inawezekana kama ukikubaliana na masharti yake, na siku ukienda kinyume anakunyang'anya.
(2) umuombe Mungu akupe sehemu ya utajiri alioushikilia Shetani, na hii inawezekana kama utakuwa muombaji sana na mtakatifu haswa, kumyang'anya shetani sehemu ya utajiri wake si rahisi kihivyo.
Usijidanganye kama unaweza kuwa tajiri kwa kufuata seminar za motivation speaker peke yake, utajiri wote anao shetani, ni either uungane naye au upambane kumyang'anya.
Sijakuelewa vizuri bossTatizo connection Ni ngum kupata walio wengi wangekua kwa Lucifer
Hakuna kitu unachomiliki katika hii dunia, wewe ni mpitaji tu, unaakodisha Mali za shetani ukifa unamuachia au umnyang' anye kwa msaada wa Mungu ila ukifa unamuachia Mungu vitu vyake.Siamini hivyo vitu, mganga sasa nyumba ya nyasi na watoto viriba tumbo huku wake zake wanne wakiwa hawana nuru kabisa.
Ujatembea ukaona dunia ilivyo umezoea kuona dunia kwa sura ya nje tuSiamini hivyo vitu, mganga sasa nyumba ya nyasi na watoto viriba tumbo huku wake zake wanne wakiwa hawana nuru kabisa.
Hii connection ya upande wa pili kwa Shetani mbona Inakuaga ngum kupataSijakuelewa vizuri boss
Hili ni suala la Imani na kama imekuingia basi hakuna shida mm nipo poa kabisa wala sina shida. Mm naishi kwa Imani ya mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ila siyo za gizaHakuna kitu unachomiliki katika hii dunia, wewe ni mpitaji tu, unaakodisha Mali za shetani ukifa unamuachia au umnyang' anye kwa msaada wa Mungu ila ukifa unamuachia Mungu vitu vyake.
Hapa duniani unakuja mtupu unaondoka mtupu.
Hivi unajua hata huu mwili tunaazima tu, ila tukifa tunauacha hapa duniani.
Nimeishi kigoma, pangani, tanga mjini, sumbawanga, namanyere, lyambamfipa, shinyanga, bariadi huko wanasema kuna mlango wa kuzimu, pemba na mafia kote huko nk nk lakini sijawahi kukwamishwa jambo langu kwa namna yoyote ile ya kichawi labdq figisu tu za kuchongeana kwenye majukumu. Mm siamini katika utajiri ni nguvu za shetani bali naamini utajiri ni katika juhudi na mawazo yetu katika kufanya kazi.Ujatembea ukaona dunia ilivyo umezoea kuona dunia kwa sura ya nje tu
sahihi kabisa mkuu, wengi wetu hasa sisi wakuona giza lishatanda na hakuna namna tunaweza ishi maisha yale ya ndoto zetu hujifariji kwa imani hizi za kishirikina.Hakuna uchawi, juhudi binafsi katika utafutaji ndio daraja litaloweza kukufikisha kwenye point ya utajiri
Africa tuko kwenye rank za juu kabisa katika mabara yenye imani za kishirikina, lakini hatujaweza kutoa hata mchawi mmoja kwenye top 10 ya mabilionea
Swali la kizushi kwa wewe unayeamini uchawi
Utachukua reaction ganu siku ambayo umemuajiri mtu akuuzie duka lako halafu baada ya siku kadhaa akaja kukuambia ule mtaji wote umesombwa na wachawi kupitia chuma ulete??
Dunia inaendeshwa kwa maarifa na sio maarifa ya kichawi.Dunia inaendeshwa kwa uchawi ila wenye akili pana ndio wanafaidi hasa wazungu maajabu nimeyaona kwa mama wa kifaranga noma sana
Huu ushahidi bado haujitoshelezi mkuu, mm nilifikiri baada ya ripoti kufika kwa mtaalamu pesa zikarudi katika mazingira ambayo na wewe ya kuliacha katika wakati mgumu bila kuelewa nini kilitokea.Sizungumzii kwa wengine, ila kwangu binafsi.
Nafanya biashara ya kifedha (za mtandao na benki). Mwaka 2018 nilipigwa tukio na wakulungwa wakaondoka na 28+ Million cash, simu na mashine za benki.
Nilimpigia simu mama yangu kumueleze maswaibu yaliyonipata. Alishangaa sana nimesurvive vipi zaidi ya miaka 5 bila kuzindika eneo langu la biashara.
Akanitaka niende nyumbani kwa mwitikio wa haraka. Baada ya kuandika maelezo polisi, jioni nikazama nyumbani.
Akanipeleka kwa mzee mmoja. Wala siyo mchawi, ila ni mtaalamu wa kuzindika.
Kuzindika siyo uchawi. Nikampeleka mjini. Akafanya yake akarudi.
Nimeshakosa majaribio matatu ya kuvamiwa.
Na ripoti zote nazipata kutoka polisi. Wakivamia na kukamatwa, wakihojiwa wanasema walipanga kuja kuniibia. Ila mikakati yao inafeli.
Zindiko ni muhimu sana.
Waliotoboa bila kuamini number moja na mbili ni viumbe vya ajabu?Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utajiri