mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,791
Jana katika sherehe za Mapinduzi serikali ili safirisha watu wa CCM na walipewa jezi za chama pamoja na posho toka DSM ili kuujaza Uwanja wa AMANI ZNZ (nilishuhudia mwenyewe maeneo ya Kigamboni jana jioni wakirudi, na walieleza kwua wametoka katika sherehe za mapinduzi ZNZ). Na hii ni kutokana na kauli ya CUF kuwa wanasusia kushiriki sherehe za Mapinduzi kutokana na mgogoro.
HIVYO NAPATA NA KIGUGUMIZI KUWA ENDAPO UCHAGUZI UKIRUDIWa JE CCM HAWATACHUKUA WATU DSM ILI WAKAPIGE KURA ZNZ???
HIVYO NAPATA NA KIGUGUMIZI KUWA ENDAPO UCHAGUZI UKIRUDIWa JE CCM HAWATACHUKUA WATU DSM ILI WAKAPIGE KURA ZNZ???