Je uchaguzi wa f5 unatangazwa wapi?

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
  • Naomba wana Jf kuuliza baada ya selection ya f5 matangazo huwekwa wapi? Ni shule aliyosoma mwanafunzi, au kwenye media au ni wapi?
  • je kama mwanafunzi alichagua combination fulani, wakati wa selection wana zingatia uchaguzi wa mwanfunzi au namna alivyofaulu au matakwa ya wizara? Nisaidie katika hili ili nijue kama kuna haja ya kutafuta alternatives in case uchaguzi haukuzingatia mahitaji ya mwanafunzi.
  • Mwisho ni shule gani zinazofaa (zenye ubora) kwa wanafunzi wa EGM za serkali na binafsi.
  • Ahsanteni wana Jf kwa msaada wenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom