kweli dunia imeisha sijui inakuaje mwanaume anapandwa na dume mwenzake
Wanaume wenyewe wachache, afu bado wengine wanakuwa mapunga tena daah
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaaani..halafu mwingine utamkuta smart tu,ukipata taarifa zake unachoka hooooi...
Wanaume wenyewe wachache, afu bado wengine wanakuwa mapunga tena daah
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ngoja kiranja wao wa humu aje, ajichagulie jina yeye na chama lake....
Kinachokera zaidi sikuhizi wanajitongozesha. Utakuta mtu unastress zako unaamua ngoja nikapate japo kinywaji mahali nijichanganye kidogo na jamii, linatokea likijana amejiremba kushinda dadake, anakuuliza samahani tunaweza kushare meza, ukimwambia karibu anakaa anaanza kujitongozesha. Hivi kweli Tz ushoga umefikia huku!!!!!"???
...linatokea likijana amejiremba kushinda dadake, anakuuliza samahani tunaweza kushare meza, ukimwambia karibu anakaa anaanza kujitongozesha. Hivi kweli Tz ushoga umefikia huku!!!!!"???
Natamani nimmention aje hapa uone swagga zake utamsikia " njoo nikunong'oneze"eeenh na hum wamo!??
hapo sasa hali inazidi kuwa mbaya. Hao hao watakaobaki mkautilize scarce resources
eeenh na hum wamo!??
wapo kuba siku alitoa mfyonyoo huoooo...!!wa kike
Natamani nimmention aje hapa uone swagga zake utamsikia " njoo nikunong'oneze"