Je, tutegemee mabadiliko ya kujenga

Je, tutegemee mabadiliko ya kujenga

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,730
Hatimaye leo Watanzania waliojiandikisha kushiriki kupiga kura, kwa UHURU wao, leo wameshiriki kutimiza wajibu wa HAKI yao.

Swali la msingi Je, watakaopewa ridhaa ya uongozi, wataendeleza tabia ya kulalamika tu, au kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo?

Kwa miaka 5 inayoisha, tumeshuhudia:

• Mwenyekiti wa Chama analalamika;
• Viongozi wa Chama wanalamika;
• Wawakilishi (Wabunge na Madiwani) wakilalamika;
• Wafuasi, hasa mitando ya kijamii, wakilalamika; na
• Hata kwenye zoezi la kupiga kura na malalamiko, mwanzo mwisho!

Yawezekana wakipewa dhamana ya kuongoza nchi hii mwendo ni uleule wa kulalamika!!!

Mkipewa ridhaa au kinyume chake, badala ya kulalamika mtoe hoja za kuijenga nchi, kwa maana kuondoa vikwazo vya maendeleo ya watu.
 
Uchaguzi huu uchakachuzi umetamalaki kwa 60%. Anyway kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Ukiona malalamiko ni mengi jua kuna kitu kipo kweli! Ni ajabu kwa yaliyotokea siku ya jana no wonder walikuja na strategy ya kuzima mitandao it was a mess hakuna uchaguzi hapo
 
Back
Top Bottom