Babb-Babbjrtz Member Feb 13, 2012 57 7 May 28, 2012 #41 Wadau kuna budi kutafakari tatizo ni nini? Hao wanashawishika kutokana na serikali kuwaacha njiani, utasoma bila ya kula kweli?
Wadau kuna budi kutafakari tatizo ni nini? Hao wanashawishika kutokana na serikali kuwaacha njiani, utasoma bila ya kula kweli?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,993 94,016 May 28, 2012 #42 Rais wa awamu ya pili wa JMT Ndg Ali Hassan Mwinyi ashawahi kusema, "ukimwi Mwenyezi Mungu kauweka mahala pabaya sana...", hivyo wanafunzi wa vyuoni acheni ufuska la sivyo elimu mloipata itakuwa kazi bure.
Rais wa awamu ya pili wa JMT Ndg Ali Hassan Mwinyi ashawahi kusema, "ukimwi Mwenyezi Mungu kauweka mahala pabaya sana...", hivyo wanafunzi wa vyuoni acheni ufuska la sivyo elimu mloipata itakuwa kazi bure.
Kalunguine JF-Expert Member Jul 27, 2010 2,543 134 May 28, 2012 #43 Hizi tzkwimu zinz walakini sina hakika nazo mwenye source atusaidie.