Je, tutapata value for money ya fedha zetu za tozo

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Kuna malalamiko mengi sana ya Watanzania kuhusu tozo zinazokatwa kwenye miamala ya simu. Tozo inalalamikiwa kuliko hata zile service charge za Tanesco wakati ule.

Neno ufisadi lilivuma sana baada ya Watanzania kugundua kuwa Mafisadi walikuwa wanajilia michango ya service charge za Watanzania.

Sasa hizi barabara za vijijini zitakazojengwa kwa tozo zetu zinatakiwa ziwe na value for money. Likitokea daraja kama lile la Ifakara kwa Mbunge wetu Kunambi au zile barabara zinazosambaratika baada ya muda mfupi basi Watanzania wataungana na neno Ufisadi litaibuka upyaaaa!
 
Back
Top Bottom