Je tunatumia Camera kiusahihi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Nazungumzia Camera ya simu yako, au device yeyote yenye camera. Achilia mbali hackers ambao wanaweza kuicontrol camera yako remotely tujiulize sisi wenyewe.

Camera zimetufanya tuwe pornographers, tafiti zinaonyesha 80%+ wanaomiliki devices zenye camera hujipiga picha za utupu.

Ulishawahi kupiga picha? anyway lakini uliwahi kumuomba someone akutumie picha? Unadhani ukifuta ndio zinafutika kabisa kila sehemu?

Sasa ni kawaida watu kujipiga picha wakiwa wananii, ziko video nyingi kule xvideos za wabongo ila kwa kjwa hawana majina makubwa tunaenda nao.

Lakini hii tabia ya kupiga picha kila unapokuwa inaashiria nini? Digital insanity au ndio kujiona kwenye video ili kuji-improve kwenye baadhi ya mambo.

Video nyingi tunapiga wakati mapenzi yakiwa hai, upo uwezekano mkubwa wa kusambaza hizo video mapenzi yakichacha, are you prepared au unadhani mapenzi ni matamu muda wote.

Smart devices can be easly hacked, ekhe na hapo je, where will your safety be incase hacker akapata mavideo yako ya kunanii.

Turn off your Camera!
 
Acha watu tufaidi mambo matamu ya kina menina na biriani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom