Je tuko wangapi? Tulizana

kumbe my bro Bujibuji unalifahamu ihilo lakini unajifanya huoni wala husikii
utafikiri umetiwa morta katika kikaangio hicho
 
Last edited by a moderator:
Nimefanikiwa kuona kama tupo sita, ila kama nimeona vibaya itakuwa ni kwa sababu ya hizi hangover za juice ya maembe nilizokunywa jana
 
Kweli saba( 7)hapo ndio mwisho wangu wakutoa macho.teh teh teh


 
Huo mkono ulio shilia kichwa cha huyo mzee hapo kulia nao unauweka wapi?

Huo mkono muhusika ni huyu wa chini kabisa,tazama kwa makini ni huyo niliye mzungushia duara rangi ya kijani chini ambapo huyo mwanamke amesimama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…