Je, trafiki anaruhusiwa kukunyang'anya leseni?

Je, trafiki anaruhusiwa kukunyang'anya leseni?

Matrafik nawachukia kwa kupenda rushwa lakini nawapenda matrafik wa kike hasa ile miguu yao. Ukiangalia goti tu unapatana matumaini. Nawapenda zaidi kwani ni nadra sana trafik wa kike kukataa ofa, hasa ofa za pombe.
 
Siamini kama kuna idara yoyote ya Serikali inaizidi idara ya askari polisi kwa kula rushwa
 
Hawa wanasheria wa mitaan hawa muwe makin nao.

Trafic anaweza kukunyang'anya lesen yako endapo itapatikana na makosa mfano, lesen yako imeisha mda wake, lesen yako inaonesha class tofauti na gari unayoendesha, umetumia lugha chafu au umemzuia kufanya kaz yake na huyo trafic kupitia
vihicle inspetor anauwezo wa kukufungia lesen yako isifanye kaz tena..

Sasa unavyojitutumua mbele ya askar hakikisha unaijua vyema sheria na uwe unatambua ya kuwa huyo askar ana makosa kweli.

Wengi nmeona wanajitutumua kwa kuwa wamefundishwa na bush lawyer baadae wanajikuta wanaingia kwenye makosa ya kujitakia..

Yaaani Wewe bure kabisaaa... umeeleweshwa vizuri na wakili msomi halafu unazarau na kumuita muhuni...
Apo upo waz kabisa kama kwenye iko kifungu cha 17 cha road traffic act.. na kimejaribu kujieleza.. sasa Wewe unaesema traffic ana haki ya kuchukua leseni yako kama ikigundulika kuna makosa anuai kama ulivyoyaorodhesha... Sasa nakuuliza swali.. Kama kuna kosa leseni ikikamatwa Ndio itasaidia nini? Apo anaetakiwa kukamatwa ni muhusika... na apelekwe mahakamani... na mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kutoa adhabu ambayo ni faini au leseni yako kufutwa... Polisi haruhusiwi kukuchukulia leseni yako... kama haujui sheria utaendelea kuburuzwa daima.. watu kama nyinyi Ndio mnaopelekea polisi kuwa na mrundikano wa leseni majumbani kwao.. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom