Je Tochi za barabarani zimetolewa?

Je Tochi za barabarani zimetolewa?

naskia zinasumbua betri kinoma
Ni kweli nyingi zimerudishwa kwa ajili ya matengenezo, lakini baadhi zipo; Niwatoe wasiwasi tu kwamba zingine mapema may zinatarajiwa kupokelewa MPYA tochi 6500 kusambazwa nchi nzima!
Jeshi la polisi linawapa pole wateja kwa usumbufu uliojitokeza kwa kukosa huduma hii pendwa!
linaomba muwe wavumilivu wakati linajiandaa kupokea Tochi nyingine mpya mapema mwezi ujao!
 
Wazifix yale maeneo ambapo madereva wanakuwa na tabia ya ku overspeed halafu wawe wanazi review!
Tena isiwe matochi bali CCTV Cameras
Hiyo itasaidia kudhibiti wizi wa magari kwa kiasi fulani swala ambalo linawaliza wengi hasa kwa wale wa Jiji la DSM.

Vituo vya polisi wamekuwa wakipokea taarifa nyingi za watu kuibiwa magari hasa Kituo cha Kawe.
 
Mawazo yamekuwa cimented na uzinzi
Ni bahati mbaya sana kwamba all men commit adultery kwa kupenda au kutopenda hata wewe kama ni mwanaume kweli ni mzinzi tu kama mimi. Ukimtazama mwanamke kwa matamanio tayari umezini(Both kwa waislamu na wakristo pia wapagani) ukimtazama huwa inakuja picha ya chupi na utupu hapo tayari mawazo yako pia yanakuwa sementedi na uzinzi pia kama nyadikwa.
 
Back
Top Bottom