Je! Telegram inalipa?

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)

To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel za movie ,unakutana channel inamuvi yeyote utakayo itafuta ya kila size (1080p,720p & 480p)
,Sasa nikawaza huyu mtu anapa faida kweli! maana anatumia bando ku upload muvi yeye je anapata faida gani?

Nauliza hivi nataka kujua Ili kama ni fursa tuichangamkie nayo ,maana nimeona Hadi channel za wabongo zipo zenye muvi kila aina na zenye mb nyingi japokuwa na huu mgao wa bando

karibu
 
Naomba link ya movie
 
Hawawezi kuwa wanawalipa kwa piracy ya kazi za watu.
 
Hapana ila hizo channels hazina uhalisia na huu uzi sijaona hizo movies za 1080p
Ok! Channel nilituma baada ya mdau hapo juu kuniomba link na sio kuthibisha Kuna movie za 1080p , channel za movie zenye 1080p zipo nyingi tu.

Mwisho Uzi wangu ulihusu Kutaka kujua kama telegram wanawalipa wenye channel za movie.
 
Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)

To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel za movie ,unakutana channel inamuvi yeyote utakayo itafuta ya kila size (1080p,720p & 480p)
,Sasa nikawaza huyu mtu anapa faida kweli! maana anatumia bando ku upload muvi yeye je anapata faida gani?

Nauliza hivi nataka kujua Ili kama ni fursa tuichangamkie nayo ,maana nimeona Hadi channel za wabongo zipo zenye muvi kila aina na zenye mb nyingi japokuwa na huu mgao wa bando

karibu
Hakuna malipo ya mojakwamoja wanayoweza kupata labda waweke matangazo kwenye hzo channels zao

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Hailipi mkuu
Wanachokifanya wamiliki wa Channel ni matangazo ndo yanawalipa...mfano unachannel ina subscriber 10k unatawatangazia member wako kwamba anaetaka Kutangaziwa akuone inbox kwaio watakuja inbox wenye biashara na wenye channel wanaotaka wazikuze watakuja utawapa bei zako na watakupa marangazo yao uwatangazie.....

Aidha,Njia ya pili wanafanya wanaojiuza kuna channel za madada poa unakuta ni dalali wa madadapoa anapost picha za wadada ukimpenda unamfata inbox unalipia anakupa namba ( Ni ujinga na Utapeli)lakini ndoivo wajinga ndio waliwao

Lakini pia,Telegram imejaa BOT ambalo ata wewe unaweza kubadili IDEA yako kuwa pesa kwa kutumia BOT..mfano kuna mdau yeye anachannel ya miziki ni BOT ukitafta mziki,EP,Album yoyote unaipata ila ili kuweza kuipata lazma ulipie na BOT linakuelekeza namna ya kulipia kwaio jamaa anapiga pesa kinamna iyo..

Bila kusahau matapeli wa CRYPTOCURRENCY na FOREKSI usiposet namba yako kuadiwa kwenye group na "Contacts zako tu" utapata tabu sanaa ukilala ukiamka unakuta umeaddiwa kwenye group la bitcoin mara la porno mara la india

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom