earl Senior Member Joined Aug 30, 2012 Posts 142 Reaction score 192 Jan 30, 2017 #1 Habari za mchana, Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika. Asante.
Habari za mchana, Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika. Asante.
Kakashi uchiha JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 604 Reaction score 415 Jan 31, 2017 #2 Jamani hiv vitu vingine Umeshaandikiwa lte halaf unauliza kama ina 4g kweli jamani
earl Senior Member Joined Aug 30, 2012 Posts 142 Reaction score 192 Feb 1, 2017 Thread starter #3 robione said: Jamani hiv vitu vingine Umeshaandikiwa lte halaf unauliza kama ina 4g kweli jamani Click to expand... Soma vizuri. Simu inaitwa TECNO W5 Lite, 4G ni "Long Term Evelution" - LTE.
robione said: Jamani hiv vitu vingine Umeshaandikiwa lte halaf unauliza kama ina 4g kweli jamani Click to expand... Soma vizuri. Simu inaitwa TECNO W5 Lite, 4G ni "Long Term Evelution" - LTE.