Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,540
- 1,546
TCU wabovu saana kufata ratiba. Ilitakiwa tareh 5 inapoingia tu dirisha liwe wazi. Ila mpaka sasa kwenye website yao hakuna taarifa yoyote.. Kwenye media zingine pia hakuna na ni saa7 hii.Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,
jé wamefungua tayari?
Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi aweze kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine?
naweza kusema , baadhi ya vyuo ndo wamefungua internal transfer to change programes inside the university , mfano UD , UDOM ,, ila for inter university , subili tcu watangaze wao maana wenyew ndo kila k2 ,Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,
jé wamefungua tayari?
Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi aweze kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine?
Asante mkuu kwa taarifanaweza kusema , baadhi ya vyuo ndo wamefungua internal transfer to change programes inside the university , mfano UD , UDOM ,, ila for inter university , subili tcu watangaze wao maana wenyew ndo kila k2 ,
Tuwavumilie mkuu!TCU jipu saana... Ratiba wanapanga wenyewe na wanashindwa kuifuata... Leo tareh 6 na bado hakuna taarifa ya aina yoyote .... Si ujinga huu.
Siku zao zinahesabika.
Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transferTuwavumilie mkuu!
mkuu ,naomba kuuliza , je kuna tozo zozote zile zinazohitajika mfano ada ya transfer fee ?Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Nashkuru mkuu kwa kunipa mwangaza, ila nilitegemea TCU wangetoa muongozo hatua zá kufuata ili mwanafunzi ahame kutoka chuo kimoja kwenda kingine, kama walivyoweka tarehe ya kuanza kufanya hivyoIsee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Admission letter unaweza kuipata hata usipokuwa chuoni?Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Naona wameweka tayari.Ukienda kwenye tovuti yao utapata taarifa
Hakuna ni kuandika barua tu ukiambatanish na nyaraka zako kama copy za vyeti nakusubiri majibumkuu ,naomba kuuliza , je kuna tozo zozote zile zinazohitajika mfano ada ya transfer fee ?
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza,
jé wamefungua tayari?
Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi aweze kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine?
hatari Sana mkuu,Na leo ndio tareh 8 ilitakiwa jana iwe aproved tranfer hadi now kimya hawana usemi wowote... Kimya wamekausha hawana mpngo
Wadwanz saanahatari Sana mkuu,
Ulisoma TCU calendar lakini?Mbona majibu yakuhama yalikuwa yanatolewa na chuo unachohamia mapema tu.
Labda leo watatoa feedback kwa kuwa ni siku ya kazi!Wadwanz saana