LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
Siku zao
zinahesabika kwani watakuwa wamepewa masharti magumu ya kutotamka neno
CHADEMA, au mwanachama yoyote wa Chadema , isipokuwa tu watamke na
warudie rudie kuyatangaza mabaya ya CHADEMA na kuficha Uovu wote
unaofanywa na CCM. Ipo siku isiyokuwa na jina na muda si mrefu watu pale
TBC watakuwawakijitoa wenyewe kwani chama cha Upinzani kikishika Dola
sidhani kuna mtu atakubali kuendesha shirika la Umma kwa upendeleo wa
wazi vile...let them enjoy but they know for sure the uncertainity of
their employment at 2015 soon after the general election.Watanzania
tunaolipa kodi zetu tunaona na kusikia kile mnachokifanya lakini mjue
ngiriba na mbembe siku zote zina mwisho,
Enock Mbwigane leo asubuhi wakati wa kusoma magazeti, alikumbana na title kwenye gazeti la jambo leo "CHADEMA yabadili mbinu ya kuingia ikulu". Akataka kuisoma halafu akasita kaliweka gazeti kando na kuchukua gazeti jingine, nako kakuta kichwa cha juu kinamuhusu Mbowe kasema nunua mwenyewe uisome habari hiyo. Inawezekana ni sera yao kutosoma habari yoyote ya CHADEMA, inashangaza pesa za walipa kodi kutumiwa kwa matakwa ya kuwabeba wanasiasa fulani dhini ya wengine kwenye vyombo vya habari.

Wakuu ipo method ya ku delete TBC kwenye orodha ya channel(channel list)?
eeh! Mungu wa mbinguni. Utujaliae sisi tuliomasikin na wanyonge kupata japo kwa shida vijisent vya kulipa kodi kwa serikali yetu. Tizama dhuruma hìi. Hata watangazaji wanalipwa mishahala kwa kodi hizihizi. Angalia wanavyotubagua na kututendea hila wakisahau kuwa wanakula na kunenepa kwa sababu yetu sisi wanaotubagua. Eeh mwenyez mungu tenda haki sasa. Naomba uwaonese uwepo wako na hasira zako kwa wanyang'anyi hawa wa haki zetu. Aaaamen.
Nakushukuru wewe uliyesoma maombi haya. Amin mungu wako ni msikivu.atatenda sawa na maombi haya. Usite kuiombea mema tz siku zote za maisha yako.