Je tatizo ni Benjamin Netanyahu?

Huyo unayejadiliana naye ni TAAHIRA mkuu. Hayupo kujifunza bali ku instill hatred speech. ACHANA NAYE.
 
Ilikuaje sasa Pakistan akamiliki mabomu ya nuclear ilihali haitambui kabisa uwepo wa taifa la Israel? Je ni uzembe wa intelijensia?
... kuna kitu cha ajabu kidogo. As you move away from Sham and Levant ukiichaa unapungua. Nchi uliyoitaja ina nafuu ya ukichaa kuliko wa around Sham and Levant including hiyo Israel yenyewe.

Ukiiangalia Pakistan ina nafuu kuliko Iran, Bangladesh nafuu kuliko Pakistan, Malaysia nafuu kuliko Bangladesh, Indonesia nafuu kuliko Malaysia, etc.

So, Pakistan kumiliki nuclear ni hatari ila ni afadhali kuliko wenzie wanaoizunguka Sham na ukanda wa Levant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…