Failed state ni nini? Failed state ni Kwa maana fupi ni taifa lililoshindwa! Kushindwa Kwa taifa kunajitokeza katika nyanja zifuatazo:
1. Kushindwa kusimamia mapato yatokanayo na Kodi!
Hapa taifa litashindwa kusimamia ukasanayaji wa mapato ya Kodi kama Kodi za bidhaa za nje, bidhaa zinazotoka nje , Kodi za utoaji wa huduma za ndani Kwa makampuni makubwa nk.
Kwa Tanzania PESA nyingi zinapotea sana KUPITIA utoroshaji na utakatishajinwapesa ambapo Kwa mwaka ni zaidi ya trillion tatu! Ufisafi wa PESA ni mkubwa sana katika kipindi hichi kama ambavyo ufichuaji wa nyaraka za Siri umebainisha hapa majuzu, mbali na hivyo PESA nyingi zimepotea kulinagana na report ya mkaguzi wa hesabu za serikali. Ufisafi huu ni kiashiria tosha kuwa kama mambobhaya yataendelea Tanzania inaweza kuelekea kwenye hatari ya kuwa failed state.
2. Kushindwa kusimamia Usalama wa ndani!
Tumeona wazi na watanzania wanajua kuwa Usalama ni mdogo Kwa wakosoaji. Kama Kuna vikundi vya watu wahalifu wanaoratibu utekaji na kuua Kwa MAKUSUDI ya kuharibu kusukuma AJENDA ya vikundi hivi kuwa vikubwa basi Tanzania itakuwa katika Hatari yabkuja kukumbwa na makundi ya uasi yatakayoisumbua nchi huko mbeleni.
Kama kweli wanafanya hivi na hawajulikani basi ipo hatari kubwa itakayoleta athari mbaya huko mbele endapo utekaji na uuaji huu hautadhibitiwa haraka! Kila jambo huanza kidogo kidogo baadaye likawa kubwa hata Kongo walianza hivi, somalia na sudani ilikuwa hivi, jamhuri ya AFRIKA ya kati ilikuwa hivi, sieraleon ilikuwa hivi, Ivory coast ilikuwa hivo!
3. Kushindwa kusimamia mipaka ya nchi. Kwetu bado kupo shwari ila mpaka Sasa rushwa na UCHAWA unaweza ukapelekea watu kuanza kutafuta vichochoro vya kuingia na kufanya uhalifi kutokana na kwetu ndani hakupo sawa. Ni rahisi sana makundi haya ya wasiojulikana kuingiza wahalifu wakafanya uhalifi na kutokomea .
4. Kushindwa kusimamia na kulinda rasilimali.
Tanzania mpaka Sasa imekabidhi rasilimali Kwa watu wa nje kama vile migodi , gesi, misitu , bandari na viwanja vya NDEGE pamoja na Kanda maalumu kiuchumi . Mfano ukanda wa pwani umekabidhiwa Korea Kwa maana ya uwekezaji .! Sasa hozi ni hatua nmbaya kama taifa, mali ya asili ya nchi kikabidhiwa mgeni ni hatari snaa..WATANZANIA HATUPO SALAMA .HAYA NI MAMBO YA HATARI SANA. TUWE MAKINI