Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,601
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika Mashariki.

Kenya anatengenezwa kuwa kibaraka wa West Ili kuiba Mali za Congo na eneo Zima la Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara.

thecitizentz

US President Joe Biden is expected to designate Kenya as a major non-North Atlantic Treaty Organisation (Nato) ally during a three-day state visit by Kenyan President William Ruto this week, a source familiar with the plans said.

Kenya would be the first Sub-Saharan African country to receive the designation, reflecting Washington's drive to upgrade its relations with Nairobi at a time of growing Russian and Chinese influence in Africa.

The two leaders will meet in the Oval Office on Thursday, followed by a joint news conference and a state dinner.

Senior administration officials said Biden and Ruto would discuss a range of issues from trade to debt relief and the way forward for Haiti, Ukraine, Sudan, and other areas during their meeting.
404c91504ca92f5f502aefb1db5bfa06.jpg

My Take
Tusikubali Kenya kuwa na Nguvu kubwa za Kijeshi sebuleni kwetu.Tufanye kama Russia anavyomfanyia Ukraine.

Huu ushirika ni kitisho Cha moja Kwa Moja Cha usalama na maslahi ya Tanzania

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1793928056291090929?t=Tbiqm56OkJhgzRHaomWFpA&s=19
 
Mimi naona Marekani sasa hivi inatapatapa! Kila mahali Afrika inatimuliwa,Africa Kaskazini na Africa ya Kati inatimuliwa!
Wakati Marekani duniani inakabiliwa na Russia kijeshi,upande mwingine inakabiliwa na China kiuchumi.
Hata hapo Kongo ambapo kuna vikundi vya M23 na ADF ambavyo vinatumiwa na Rwanda/Uganda kwa maslahi ya Marekani na Washirika wake kupora raslimali za Kongo naona ni swala la muda tu.
 
Nilifikiria hili suala baada ya kuona Kenya ilivyo tambuliwa na USA kwenye hii ziara, nilijipatia hitimisho kuwa inawezekana ndani ya miaka 20 - 30 ijayo Kenya inaweza kuingia vitani na nchi mojawapo hapa Afrika mashariki, kama sio Uganda inaweza kuwa Tanzania
Acha uoga hilo jambo halitawezekana. Acheni ndoto za mchana

Kenya ni kama malaya kwa Mchina yupo anakula mikopo kwa Marekani napo ni hivyohivyo
 
Mimi naona Marekani sasa hivi inatapatapa! Kila mahali Afrika inatimuliwa,Africa Kaskazini na Africa ya Kati inatimuliwa!
Wakati Marekani duniani inakabiliwa na Russia kijeshi,upande mwingine inakabiliwa na China kiuchumi.
Hata hapo Kongo ambapo kuna vikundi vya M23 na ADF ambavyo vinatumiwa na Rwanda/Uganda kwa maslahi ya Marekani na Washirika wake kupora raslimali za Kongo naona ni swala la muda tu.
Marekani ni super power mtasubiri sn
 
Back
Top Bottom