philosophy
Senior Member
- Nov 11, 2012
- 104
- 42
zimekuwepo kauli za mazoea kwa nchi ya watu wenye kuwaza zaidi ya kufikiria na kuridhika kuwa wamefikia hatua ya juu ya kufikiria sawasawa. nchi hii ni TANZANIA. utawasikia viongozi pamoja na raia mbalimbali wakinena tena kwa hisia zilizozidi kipimo ati:
" Tanzania ni kisiwa cha amani, tujivunie kuwa nchi ya amani duniani. nci yetu inasifika kuwa ya amani au kisiwa cha amani duniani" Lakini katika uchunguzi mdogo niliofanya, nimegundua Tanzania si nchi ya amani kama wanavyoitangaza hasa viongozi.
Si maanishi kuwa si nchi ya amani, bali nasema hiyo amani inayotangazwa sio halisi kama ilivyo......kama ni amani tanzania ina amani ama ndogo au ya kawaida sana. Majarida mawili niliyoyapitia yamethibitisha hilo kama ifuatavyo:
(a) JARIDA LA "FORBES" The world most peaceful countries.
1. iceland
2.denmark
3.new zealend
4.australia
5.switzealand
6.japan
7.finland
8.canada
9.sweden
10. belgium
(b) JARIDA LA "AMERIKANKI" The 20 most peaceful countries in the world:
1.denmark
2.norway
3.singapole
4. slovenia
5.sweden
6.iceland
7.belgium
8.czech republic
9.switzerland
10.japan
11.ireland
12. finland
13. new zealand
14.canada
15.austria
16.bhutan
17.australia
18.portugal
19.qatar
20.mouritus.
Lakini kwa mujibu wa uchunguzi ulifanywa na " the 2011 Global Peace Initiative "Botswana, Mali na Ghana ndizo nchi zenye amani sana barani afrika kuliko nchi nyingine.
kwa ushahidi huu hakika tanzania ni nchi ya amani ya kawaida dunia na wala sio kisiwa cha amani kama wanavyodai waliozoea kuwaza badala ya kufikiri. kwa hiyo tanzania sio kisiwa cha amani kama wanavyodai viongozi.
Lakini kwanini tunasema nchi hii ni ya amani? je amani ni kutokuwa na vita tu? je vita ni nini? ni kweli tanzania haina vita? je amani ni ipi kama watu wanaandamana wanapigwa, wanakamatwa na kufungwa, kutekwa na kuuawa? amani iko wapi kama viongozi wanatoa kauli za kutishia nyau endapo wanabainika na tuhuma? amani gani kwa watu kukosa hata milo miwili kwa siku? amani ni ipi kama kuna utitili wa wasio na ajira?
SWALI NAWAACHIA WADAU: Je, tanzania ni kisiwa cha amani kweli?