caiden mills
Member
- Jul 13, 2019
- 49
- 19
Naomba kujua kama Tanzania kuna kozi iitwayo Bachelor of Military History and Diplomacy. Inatolewa chuo gani? Pia wanachukua wanafunzi wenye sifa zipi?
Kozi zote za jeshi zinatolewa au zinagharimiwa na jeshiNaomba kujua kama Tanzania kuna kozi iitwayo Bachelor of Military History and Diplomacy. Inatolewa chuo gani? Pia wanachukua wanafunzi wenye sifa zipi?
UDSM mkuu nenda pale utapata maelezo ya vigezoNaomba kujua kama Tanzania kuna kozi iitwayo Bachelor of Military History and Diplomacy. Inatolewa chuo gani? Pia wanachukua wanafunzi wenye sifa zipi?