EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Habarini za leo wakuu.
Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania.
Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini.
Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye katiba.
Sote tunajua kuna mkemia mkuu wa serikali Tanzania.
Je, yeye kama mkemia mkuu hana jukumu lolote la katika jumuhia za wakemia duniani na nchini?
Ni hayo tu wakuu