Je, Tanzania Kuna Atheist Society? Kama Hakuna, Kwanini?"

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,296
Reaction score
3,929
"Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati nchi nyingine zina uhuru wa imani mbalimbali? Je, ni kwa sababu ya mazingira ya kijamii, sheria, au hofu ya unyanyapaa? Niko tu curious kujua sababu na maoni yenu kuhusu hili

Pia kwanini isiundwe ili watu tujiunge
 
Wapo wengi ila hamna umoja ambao ni official
 
Hiyo sio dini wala taasisi, huo ni ukweli wa mambo kwa mtu huru kifikra tu
Yes lazima kuwe society yake maalumu for sharing knowledge and promoting critical thinking pia ...kutoa misaada ya kimawazo pale mawazo ya imani yanataka kupoteza watu.... kama kipindi cha CORONA mambo ya nyungu na mafuta ya upako na kuamini kusali kipindi kile watu walikufa sana... sababu tu imani mimi kama atheist nikasema kungekuwa society atleast ingesaidia ku debunk zile myth za corona
 
yaani unataka iweje ndio ujue wapo? ubaya ni kwamba hata wasioamini uwepo wa Mungu wanaamini uwepo wa Mungu kwa namna yao iwayo...ni kuwa tu hawaamini Mungu unaemuamini wewe kwa namna yako unavyomuamini wewe 😅
 
Kuamini ni suala binafsi ambapo kuwa atheist sio lazma muwe na society lakin ni ww kujua kuwa ww ni kila kitu na kila kitu ni ww na uishi kwa upendo sio kwa binadamu tu bali na kwa mimea na wanyama pia na mazingira yote yanayokuzunguka ambapo hayo yote ni ww mwenyewe ila umekua projected into different things on earth ila kama utahitaj sana kuwa na society kama hizo ni vizur ukawatafta watu wa Spiritual awakening and enlightenment hao watakusaidia.
Pia mpaka unakua curious na haya mamb hongera kwani macho yako na akili yako inaanza kuamka nakutakia Spiritual journey njema
 
Ishort hata ikianzishwa kama nikiwepo ndani nitahakikisha inajazaa critical thinkers tu hasa wanasayansi wa nchi hii sio kila taka taka utajaza kwenye society..... lazima awe mdau wa sayansi kwanza ndo aingie kwenye society kigezo namba moja
 
Tanzania bado ni taifa linalojifunza kuhusu tofauti za imani na mitazamo hasa isiyo ya kidini. Kuwepo kwa kundi kama Atheist Tanzania ni jambo ambalo linahitaji mjadala mpana wa kitaifa kuhusu uhuru wa imani ikiwa ni pamoja na haki ya kutokuamini.
Ni halali kwa watu kutokuamini kama vile ilivyo halali kuamini. Lakini jamii ya Tanzania bado haijawa wazi sana kkwa hili
 
Kuamini ni suala binafsi ambapo kuwa atheist sio lazma muwe na society lakin ni ww kujua kuwa ww ni kila kitu na kila kitu ni ww na uishi kwa upendo sio kwa binadamu tu bali na kwa mimea na wanyama pia na mazingira yote yanayokuzunguka ambapo hayo yote ni ww mwenyewe ila umekua projected into different things on earth ila kama utahitaj sana kuwa na society kama hizo ni vizur ukawatafta watu wa Spiritual awakening and enlightenment hao watakusaidia.
Pia mpaka unakua curious na haya mamb hongera kwani macho yako na akili yako inaanza kuamka nakutakia Spiritual journey njema
Watu astro projection nao hawana tofauti na watu dini so ...mimi nataka atheist critical thinker hasa wenye uelewa wa sayansi sio tena kuaanza ujinga eti astro projection sasa tutakuwa tunapoteza watu tena
 
Back
Top Bottom