Je, Tanzania itavipata vijisenti JK alivyokuwa anaenda kuomba kila kukicha Marekani?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Katika hali hii ya kiuchumi ambayo imeathiri Marekani na dunia nzima vile vijisenti vilivyodaiwa vina umuhimu mkubwa kwa Tanzania kutokana na safari za JK kwenda kuombaomba nchi mbali mbali hasa Marekani havitapatikana tena. Wamarekani hawatakubali kuona nchi yao inaipatia Tanzania $900 millioni wakati wengi hawana ajira na pia ni homeless. Kwa hiyo vijisafari vya JK kila kukicha Marekani havikuzaa matunda yoyote kwa Tanzania. JK na kundi lake wametumia mabilioni ya pesa za walipa kodi na matokeo yake ni ZERO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom