Je tanzania imepewa timu ngapi kucheza champion league 2024/2025?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,041
Wadau kutokana na Mafanikio ya YANGA na SIMBA ktk Michezo ya Champion league nasikia tumeongezewa timu za kushiriki Champion League je ni kweli? Kama ndio tumepewa Timu zetu ngapi zitakazoshiriki?
 
Back
Top Bottom