Miezi ya nyuma (kabla ya mwezi huu) , nilikuwa nikinunua umeme wa 5,000 (units 15) nakaa nao siku mbili. Lakini baada ya kuingiza Key Change Token, umeme uleule wa 5,000 unaisha kwa siku moja na matumizi ni yaleyale. Je, kuna mwingine amekutana na hili au Luku yangu imeharibika?
Ukikua utaacha kupost upuuzi kama huu, au umesahau kuwa kuna mtu alisema bei ya umeme haitapanda lkn baada ya miezi mitatu ilipanda na ikaendelea kupanda mpaka sasa inapanda, na aliyeyasema haya yupo na ana madaraka ya kuweza kuzuia maumivu hayo ila kanyamaza, labda kwa 7bu yeye huwa halipi bili za umeme bali analipiwa na serikali, therefore he do not care kama wewe, hata maumivu yake hayajuiWatanzania miaka 5 mpaka 10 ijayo mtakuwa na umeme karibu ya bure.
Ahsante Kikwete, Gas mpaka ya mkaa wa mawe imeanza kuchimbwa kutengeneza umeme, Steigler yaja. Ile mi Rais ya kabla yake sijui ilikuwa inafanya nini?
Ukikua utaacha kupost upuuzi kama huu, au umesahau kuwa kuna mtu alisema bei ya umeme haitapanda lkn baada ya miezi mitatu ilipanda na ikaendelea kupanda mpaka sasa inapanda, na aliyeyasema haya yupo na ana madaraka ya kuweza kuzuia maumivu hayo ila kanyamaza, labda kwa 7bu yeye huwa halipi bili za umeme bali analipiwa na serikali, therefore he do not care kama wewe, hata maumivu yake hayajui
ukikua kiakili utaacha kupost upuuzi kama huu
mavi yako, megawati sita watakazozalisha hazitoshi hata kuendeshea wazo sementJuzi nimesikia wale wanaochimba Gas ya mkaa wa mawe wakisema wazi kabisa, kuwa umeme wataozalisha watawauzia TANESCO kwa robo ya bei ya umeme wanaonunuwa sasa hivi. Unacheza na Mhogo wewe?
mavi yako, megawati sita watakazozalisha hazitoshi hata kuendeshea wazo sement
Yaani we Zomba hat off.
Uko tayari kwa upuuzi wa namna yeyote ile, na wala hukasiriki.
Uko tofauti sana.