Je takukuru mmeliona la moshi vijijini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je takukuru mmeliona la moshi vijijini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by moizze, Sep 6, 2010.

 1. m

  moizze New Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi bado najiuliza takukuru je mkono wa sheria unafika kote jamni au la? Kwani kuna kampeni za kutoa rushwa nje nje mfano mzuri kwenye misiba huwezi amini hata kidogo ukihuidhuria misiba hivi sasa utaona kuna mkurugenzi wa wilaya, katibu mkuu wachama mkoa,na diwani na mgombea basi hapo utasikia hii kwa niaba ya chama natoa kisai fulani cha fedha cha ajabu hata yule papa kwa jina namuhifadhi naye siku hizi never mis, je takukuru halioni hili
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,747
  Trophy Points: 280

  moizze

  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date
  Mon Sep 2010
  Posts
  1
  Thanks : 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power0

  Karibu JF mkuu. Au umebadili ID?
   
Loading...