mtelezo Member Jan 31, 2015 62 27 Jun 12, 2016 #1 Je hawa startimes wanaonyesha hizi mechi? Na kama wanaonyesha ni kupitia kifurushi kipi??
Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,984 Jun 12, 2016 #2 Hawaoneshi, wanaonesha Copa America kwenye kifurushi cha Jambo.
WAIKORU JF-Expert Member Dec 9, 2015 1,584 2,446 Jun 12, 2016 #3 Star times Wahuni tu....wanatudanganya sana Wateja Wao.....wanatuzuga na copa america ..sa kumi usiku nani wa kuangalia Haiti vs panama... Bora ata wenye Azam wanafaidi kidogo.....
Star times Wahuni tu....wanatudanganya sana Wateja Wao.....wanatuzuga na copa america ..sa kumi usiku nani wa kuangalia Haiti vs panama... Bora ata wenye Azam wanafaidi kidogo.....