Nawewe uliacha mkun6u wazi kama huyu? duuu !! na mainzi wakakufata hapo nyuma kama huyu jamaa kwa picha? ongera bwana mwayenaMTU anaejielewa havai hivo,pia ni umri unachangia,binafsi nshafanya hayo na uhuni mwingi tu unaofanana na huo kias nliwaudhi ndg zangu, lkn kwa umri huu!! hata nikiwaona vijana wamevaa hivo nachukia,cpendi KBS.
haikua hivyo mzee uyu kapitiliza,Nawewe uliacha mkun6u wazi kama huyu? duuu !! na mainzi wakakufata hapo nyuma kama huyu jamaa kwa picha? ongera bwana mwayena