Wazuie matumizi ya smartphone ili iweje??Kwa nini?
NimelielewaUngerudia kusoma bandiko nadhani ungeweza kunielewa vizuri.
Nimelielewa
una uhakika gani?Haitatokea hiyo
Mbona ni swala ambalo halifikiriki!? Unaijua china vzr!? Social network kule ni utata haswa huduma za google still watu wana peruzi!? Unajua chochote kuhusu VPN!? imekuaje mpaka wewe kufikia kuwaza vitu ambavyo havipo!?
Sio kwa swala hilo! Kawaambie walio kutuma kwa hilo wamegonga mwambaNimefikiria kuwaza vitu ambavyo havipo kwa sababu hata vilivyopo viliwazwa kwanza kabla ya kuwepo kwake.
Hilo sio swala la simuUtatumiaje sasa?