kaka mi sjawah kudownload anti virus kwenye simu na ukiskia android ina virusi au malware wengi wanakua hawadhuru simu.
malware wa siku hizi wanapenda hela au information mawili kati ya hayo.
malware mkubwa kabisa wa android ni google mwenyewe hivyo huna ujanja hata ueke nini,
malware wengind ni kama hawa whatsapp stickers ambao wao ukiwaeka wanadisplay matangazo 24 hrs kwenye notification panel.
hivyo ukiangalia mambo ya kueka virusi vya kuharibu simu gamepitwa na wakati siku hizi watu wanataka hela