mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,256
- 3,987
Huku YangaSimba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.
hatuna shabiki Andazi kama wewe, bakia huko huko Kwa Mikia wenzako. Na makundi hamtoboi ng'oo