Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,670
- 22,258
Ninaangalia taarifa ya Habari ITV saa mbili usiku leo Ijumaa 20/11/2020, habari iliyonishitua inahusu tope linalotoka aridhini eneo la Kunduchi ambapo wataalamu wa Jiolojia toka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakishirikiana na Jeshi la Polisi
Wataalam hawana kifaa chochote cha kuweza kutambua kinachoendelea chini ya ardhi na kuwa zaidi uwepo wa polisi kama nao ni wataalamu wa jiolojia
Huu ni mzaha kwenye suala zito linalohusu usalama wa wakazi wa eneo husika. Katika kundi la watu waliokuwepo hapo kijana mmoja alikanyaga tope hilo na mguu wake ulitumbukia mpaka kwenye goti na kuokolewa na mtu aliyekuwa karibu naye, hivyo kuashiria ni kina kirefu, jambo la ajabu ni kutowekwa kizuizi kuzunguruka eneo hilo ili kuzuia watu watakaopita hapo usiku wasitumbukie.