ahsante, mana yake shetani alikubali makosa na kuomba msamaha sio?
Kwamba unamuonea huruma 😂.
Ndomana kitabu cha Enoch kilifichwa mpaka siku za mwisho.
Sasa kama alikubali makosa mbona anaendelea kufanya maovu!
Ukitaka kujua character ya shetani angalia wafuasi wake, mfano:
wakana Mungu wanaozunguka na mabango kumkana Mungu na kumkashifu Mungu daily wanajiona wana akili na uwezo wote kama Mungu,
wauaji, wabakaji, wasio waaminifu kwa wenza wao, wanaotelekeza watoto wao etc. Shetani huyo hapo.
Satan is
antigod. In a world of Free will he chose to
Oppose God.
Miaka mitatu ya dhiki kuu (soon) kuelekea kurudi kwa
Yesu mashetani yataachiwa na yatafanya uharibifu mkubwa, na wakati finally Yesu anakuja duniani watataka kupigana naye! !
Does this look like a repentant character!
Na adhabu yake ilitamkwa tangu siku aliyoasi. Hata moto wa maangamizi uliwekwa kwaajili yake, wanadamu wote wangemkubali Yesu hakuna
hata mmoja angetupwa huko, huko wangeishia shetani na malaika waasi wenzake tu.
“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika wake."
Mathayo.25.41.NENO