Je serikali inajua matatizo ya wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je serikali inajua matatizo ya wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Thomas Juma, Mar 1, 2011.

 1. T

  Thomas Juma Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu,naona kikwete hata hajui matatizo ya wananchi anaowaongoza tofauti na kuanza kuzungumzia yale yanayoonwa na wapinzani wao {CHADEMA}. Kumbe bila chadema serikali yetu ya kikwete ingekosa cha kuzungumza kwenye hotuba yake.

  Sasa huyu Rais yupo kwaajili ya kutatua haja za wananchi kweli?:decision:
   
Loading...