Je, Serikali inahusika katika utekaji nyara na kupotea kwa raia kunakoendelea nchini?

Je serikali inahusika katika utekaji nyara na kupotea kwa raia kunakoendelea nchini?

  • Ndiyo

  • Hapana

  • Sijui


Results are only viewable after voting.
Kutoka katika gazeti la Mwananchi linasema Roma alirudishwa nyumbani tangu juzi saa tisa alfajiri ila ameenda polisi Oysterbay jana mchana, bila shaka inamaanisha ameenda mwenyewe polisi kuripoti. Kwa nini hizi taarifa za kupatikana kwake hazikutolewa muda wote huo hadi mchana jana ?
 
Kama makonda alijua kina Roma watapatikana kabla ya jumapili (jumamosi) serikali (makonda na magufuli) walikuwa wanajua walikowapeleka.
 
Kama makonda alijua kina Roma watapatikana kabla ya jumapili (jumamosi) serikali (makonda na magufuli) walikuwa wanajua walikowapeleka.
Kura zinaendelea kupigwa na mpaka sasa idadi kubwa ya wachangiaji wanaamini kuna mkono wa serikali katika kutekwa na kupotea kwa raia nchini.
 
Ney alikuwa tishio bila shaka
 

Ndio maana viongozi wa Ki Afrika wanataka tujitoe kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague ili waepuke mashitaka. Moja ya vitu wanavyofanya ni kuvitumia vibaya vyombo vya dola. Vyombo vya dola vimeundwa ili kulinda usalama wa wananchi lakini badala yake viongozi wa Ki Afrika wanavitumia kukandamiza wananchi wao.
 
Serikali ya fent ford ndiyo inateka wananchi wake.
Hilo liko wazi
 
Serikali ya fent ford ndiyo inateka wananchi wake.
Hilo liko wazi
Fikiria serikali inayomkumbatia na kumpakata jambazi anayeteka kituo cha habari...hiyo serikali inaweza kufanya chochote!
 
Reactions: 999
HAHAHAHA NAKUMBUKA KURA ZA MAONI KUHUSU DR SLAA ....ALISHINDA MTANDAONI LAKINI KWENYE BOX LA KUPIGIA KURA...

UKIWA HUKU MTANDAONI WAWEZA DHANI NCHI IMESIMAMA KUMBE SIVYO...
KUNA TANZANIA YA MITANDAONI NA TANZANIA YA MTAANI.
 
HAHAHAHA NAKUMBUKA KURA ZA MAONI KUHUSU DR SLAA ....ALISHINDA MTANDAONI LAKINI KWENYE BOX LA KUPIGIA KURA...

UKIWA HUKU MTANDAONI WAWEZA DHANI NCHI IMESIMAMA KUMBE SIVYO...
KUNA TANZANIA YA MITANDAONI NA TANZANIA YA MTAANI.
Mtandaoni kura haziibiwi na hakuna tume ya kuchakachua kura! Ukimkuta mtu anaandika kwa kutumia herufi kubwa kama ulivyofanya, huyo hana tofauti na kipenzi cha Magufuli aka Bashite!
 
Serikali haihusiki wala haijui wanaohusika. (ni mawazo yangu tu)
Ikiwa haihusiki na utekaji, kwa nini mara zote imekataa wito wa kuunda tume huru ya kijaji ili ichunguze jambo hili hatari? Jiulize swali hili rahisi na ujijibu!
 
Fikiria serikali inayomkumbatia na kumpakata jambazi anayeteka kituo cha habari...hiyo serikali inaweza kufanya chochote!
It pains to the heart that Tanzania of Julius Nyerere has come to that depth of lawlessness. Oh Almighty God save our necks from this tyranny.
 
Watapana lakini hawatashinda!!mtaichafua serikali lakini hamtashinda!!shame on you
Acha upuuzi wako, hii serikali inachafuliwa au inajichafua yenyewe...utachafuaje kilicho chafu tayari? Fikiria serikali inayomkumbatia na kumpakata jambazi linalovamia kituo cha habari. Fikiria serikali ambayo kiongozi wake mkuu anadiriki kuvunja katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea na kwa kuendelea kumlinda Bashite, imekosa kabisa uhalali wa kukemea uovu.
 

Nina uhakika Serikali ya CCM inatumia kitengo chao cha Green guard kuteka watu,kwa maana kwamba kitengo hiki kinapeqa mafunzo rasmi ya namna ya kutesa na kuua.

Na.kikundi hiki baada ya muda kitakosa cha kufanya nitaanza kuwamaliza waliokiweka.

Maana hakuna siri ya watu wawili na zaidi,muda utajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…