Je?serikali imeweza?

Je?serikali imeweza?

The third

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
45
Reaction score
1
Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za watanzania?
 
staki hata kckia kaul mbiu za ksanii hzi mm,jk amalze mda wake aondoke watanzania wameshakata tamaa
 
Back
Top Bottom