Je, serikali imewalipa watumishi wangapi walioishinda CMA?

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habari,

Napenda mchango wenu katika hili kwani kumekuwa na kesi nyingi CMA dhidi ya serikali yetu kwa viongozi wa serikali na taasisi zake kufukuza watumishi kwa kuwaonea na watumishi hao.

Wanapofungua kesi dhidi ya serikari wamekuwa wanashinda na kutakiwa kulipwa na serikali, je niara ngapi serikali imewalipa hao watumishi fidia zao?

Na je, kama hawalipwi wafanyeje serikali iwalipe?
 
Back
Top Bottom