Je, Sayari iliyo mbali kabisa kutoka duniani iko umbali wa kiasi gani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,896
43,791
Nasikia hapa ulimwenguni kuna sayari nyingi sana, idadi yake inaweza kupita idadi ya punje zote za mchanga zilizopo baharini. Sasa je, ile sayari iliyo mbali kabisa kutoka ilipo dunia, iko umbali kiasi gani?!
 
Kuna zingine zipo out of observable space of the universe. Hizo picha zote unazoziona zinaonesha just a small part of the universe ikiwa na bilions of galaxies na ndani ya hizo galaxies kuna trilions of stars, je wazani sayari zitakuwa ngapi na kuijua iliyombali kuliko zote ni kazi rahisi?
Binafsi nazani ni ngumu kuitambua sayari iliyo mbali kuliko zote.
Fyddell.
 
Katika mfumo wa jua ni kilometa bilioni 4.5, Kausi (Neptune).
Kwa zilizo nje ya mfumo wa jua sifahamu
 
Nasikia hapa ulimwenguni kuna sayari nyingi sana, idadi yake inaweza kupita idadi ya punje zote za mchanga zilizopo baharini. Sasa je, ile sayari iliyo mbali kabisa kutoka ilipo dunia, iko umbali kiasi gani?!
Nasikia hapa ulimwenguni kuna sayari nyingi sana, idadi yake inaweza kupita idadi ya punje zote za mchanga zilizopo baharini. Sasa je, ile sayari iliyo mbali kabisa kutoka ilipo dunia, iko umbali kiasi gani?!
Bado hakujawa na uhakika wa kuwepo sayari zingine nyingi zaidi ya tisa zilizopo.

Iliyo mbali na dunia ni pluto.wakati dunia inakamilisha mzunguko wake ndani ya siku 365 yaan mwaka mmoja inarudi ilipoanzia, kenyewe kanamaliza zaidi ya karne mbili kurudi point A.
 
ukiacha solar system, kuna trillions of other systems out there
 
Binadam tupo katika galaxy(milky way) yetu ambayo inabeba millions of solar systems
Kila solar system inaundwa kwa nyota na sayar zake mf: katika solar system yetu kuna nyota moja(jua na sayari 10)
Kwa maana hiyo zile nyota unazoona usiku Ni majua yaliyopo mbali sana ndo maana huonekana ni madogo pia na yenyewe huwa na sayari zake,

Pia ulimwengu una billions of galaxes , hapo ndo tunaona ukubwa wa m/mungu
Kwa maana kuatakua na trillions of planes around the space, Subhanaallah!
Tumwogope mwenyezi mungu jamani

Swali linakuja
Ni dunia pekee ndio ona viumbe hai?

Mwenyezi mungu amesema hakuumba wanadam na majini ilaa wamwabudu tu
Hivi karibuni mashirika yanayohusu sayansi za anga wanazidi kubaini uwepo wa viumbe wasiojulikana vizur huko out the space , wamewaita kwa jina la pamoja ALIENS,

Wadau mwenye ujuzi na hao aliens niuliza je wazaweza kua ni majini na wenyewe?????
ImageUploadedByJamiiForums1455090127.822534.jpg
 
Asante kwa kumlamba tongotongo mkorinto. Sasa nieleze, sayari iliyo mbali kabisa toka duniani, iko umbali kiasi gani?
 
Back
Top Bottom