Je, Samsung Galaxy S7 Edge 2020 bado ni bora?

2020 unataka kununua simu ya 2016??? Mabadiliko makubwa sana ya technolojia yamefanyika ndani ya miaka mi4..nakushaur jichange ununue simu ya kisasa i mean matoleo ya hivi karibuni
 
Bora ununue Midrange (A-Series) za Miaka hii, kwa hio
Sahau kupata mpya,
Sahau kupokea update,
Sahau warranty,
Tarajia kutembea na Power Bank,
Tarajia kusumbuliwa na display n.k n.k
 
Nunua tu as long as ipo Ndani ya budget.

Mbona watu wananunua iPhone ya 2016 (iPhone 7) wengine ata iPhone ya 2014 (iPhone 6) na wanajiona wajanja.
Uko sahihi,maswala ya update kuna watu wengi wanatumia hawajui hata umuhimu wake,nunua tu mzee mradi tu unapata unachokihitaji,mbona kuna watu wengi tu wananunua gari za 2003 na wanasafiri bila shida!jikune pale mkono wako unapoishia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…