Je sahihi kumpa mpenzi pesa ya matumizi?

Je sahihi kumpa mpenzi pesa ya matumizi?

Jeanclaude

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
259
Reaction score
238
Hapa nazungumzia kumsaidia mpenzi wako wa kike aliye chuoni fedha za matumizi. Je, ni sahihi? Na kama usipomsaidia akapata shida upendo wako kwake utakuwa na maana yoyote? Wadau ushauri tafadhali
 
^^
Hudumia tu Mkuu..ila kweli hapo Chuo (Kikuu) ni kucheza pata potea
^^
 
Kumsaidia mtu sio vibaya, hasa mpenzi wako ila do not invest in her expecting dividends! Kama unawiwa kumpa msaada as a friend, ni kitu kizuri ila kumpa kitu kwa sababu una matarajio flani, utaumia!
 
Ukweli mchungu mkuu

^^
Utaona text sms ...dear nitumie elf 50 ya kutype..cwtie kwenye group diskashen tunalipa elf kumi kumi na hapa mama hajanitumia chochote..ntumie bathii mwaaa!
UKITUMA ANAZIFORWARD KWA AMPENDAE chezea chuo weye!
Anyway sifa ya muwekezaji ni kuwa risk taker..wekeza tu
^^
 
Msaidie kama unavyo wasaidia wengine.... ukitegemea kua akimaliza uje uishi nae, unaweza kuumia au kufurahi.
 
Kumsaidia mtu sio vibaya, hasa mpenzi wako ila do not invest in her expecting dividends! Kama unawiwa kumpa msaada as a friend, ni kitu kizuri ila kumpa kitu kwa sababu una matarajio flani, utaumia!

Mkuu ahsante kwa ushauri
 
Msaidie kama unavyo wasaidia wengine.... ukitegemea kua akimaliza uje uishi nae, unaweza kuumia au kufurahi.

Naogopa asije jisahau akajua ndyo tiketi ya kuolewa pia
 
Ila asiji_guarantee..kwan lazima...?nitamsaidia kutegemea..
 
Hapa nazungumzia kumsaidia mpenzi wako wa kike aliye chuoni fedha za matumizi. Je, ni sahihi? Na kama usipomsaidia akapata shida upendo wako kwake utakuwa na maana yoyote? Wadau ushauri tafadhali
Msaidie kama unaweza ila usitegemee mavuno
 
unauliza m-k-u-n-d-- wa dogi angali umenyanyua hadi mkia, eti jaman mnanihii wa huyu dogi upo wapi
 
Tenda wema nenda zako kiongozi usingoje kinachokuja!!!Msaidie tu,, kumbe tuko wengi ahaa!aahaa
 
Watu wanalipa Ada nzima wewe unasema matumizi!? Du unabahati Sana wewe!
 
Back
Top Bottom