Ccm hakistahili tena kuongoza nchi hii. Hakutakuwa na mabadiliko ya kweli wakati Bado ccm inalazimisha kubaki madarakani kwa shuruti, maana ccm yenyewe inaogopa mabadiliko ya kweli.Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
unakutgemea weye right?Usalama wa Tanzania hautegemei ccm
ile inanishangaza hutokeagi kugombea ili walau tukuone na tukuskize kambadala ka CCM 😅Ccm hakistahili tena kuongoza nchi hii. Hakutakuwa na mabadiliko ya kweli wakati Bado ccm inalazimisha kubaki madarakani kwa shuruti, maana ccm yenyewe inaogopa mabadiliko ya kweli.
Amalize 30 wakati hana uwezo wa kuongoza!!? Huu Ujinga peleka KizimkaziUhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
Unategemea nini?Usalama wa Tanzania hautegemei ccm
Hivi Wilaya ya Chato ilishakuwa mkoa?Amalize 30 wakati hana uwezo wa kuongoza!!? Huu Ujinga peleka Kizimkazi
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Yes, Mkoa wa Kuzimu...Hivi Wilaya ya Chato ilishakuwa mkoa?
Vipi chadema nini kinaendelea naona mpo bize na mambo ya CCM.Usalama wa Tanzania hautegemei ccm
Kiongozi anapimwa kwa KPIsAmalize 30 wakati hana uwezo wa kuongoza!!? Huu Ujinga peleka Kizimkazi
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ukiona anapingwa basi jua anawalakini!!! ana uwezo mdogo sana ktk kuongoza.....ikae hivyoKiongozi anapimwa kwa KPIs
Rais Samia yuko above
Waseme kama hawajakubaliana sio kumpinga bila sababu
Na TANZANIA ikifa ndio vizuri...tutarudi na kuishi vizuri na Mama TANGANYIKA...CCM ikifa Tanzania imekufa
KINASAMBARATIKAUhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
Hoja inaungwa mkojo,nani amekwambia Tanzania inategemea usalama wa mafisi hayo!Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
Wewe jamaa weweUhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania