Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Jun 25, 2011 #1 Wakuu naomba kufahamishwa,je Burundi na Rwnda kuna madini???Kama hawana je nini kinawavutua wafaransa na wabelgiji????
Wakuu naomba kufahamishwa,je Burundi na Rwnda kuna madini???Kama hawana je nini kinawavutua wafaransa na wabelgiji????
M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 224 Jun 25, 2011 #2 wanawake wao wazuri.
oba JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 310 Reaction score 66 Jun 25, 2011 #3 Niliwahi kusikia redioni BBC kuwa burundi kuna madini ya bati sijui rwanda
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Jun 26, 2011 Thread starter #4 Kwa ufahamu wangu nchi hizi hazina madini,wanategemea zaidi kilimo,japo kuna jamaa kanambia wanamadini mengi,ndo mana nauliza Kama kuna mwanaJF anaufahamu wa jambo hili!!!! NAWASILISHA
Kwa ufahamu wangu nchi hizi hazina madini,wanategemea zaidi kilimo,japo kuna jamaa kanambia wanamadini mengi,ndo mana nauliza Kama kuna mwanaJF anaufahamu wa jambo hili!!!! NAWASILISHA
Mzalendo80 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,509 Reaction score 1,344 Jun 26, 2011 #5 lugha na upapa
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Jun 26, 2011 Thread starter #6 Mzalendo80 said: lugha na upapa Click to expand... Unamaana gani????