Je, ruksa watoto wa kufikia kuoana?

Wamesha kuwa
ndugu tangu wazazi
wao wafunge pingu za maisha
ndugu si lazima awe wa damu au
tumbo moja.. mama yangu ame adopt watoto
wawili na hao ni wadogo zangu sasa na ni ndugu
zangu..nataka tu kuonyesha si lazima mtoke tumbo moja..

Mimi naongelea uzoefu my dear siyo nadharia - Watoto wa kufikia wanaoana bila tatizo lolote - January 2011 tuliwaozesha - Baba yake binti alishafariki na Mama yake mvulana yupo hai - So ilikuwa ni Baba wa Mvulana na Mke (wa zamani) wanaoezesha na Baba wa Mvulana na Mke (Mpya) wanaoza - Baba ali-play single role!
 
Mimi naongelea uzoefu my dear siyo nadharia - Watoto wa kufikia wanaoana bila tatizo lolote - January 2011 tuliwaozesha - Baba yake binti alishafariki na Mama yake mvulana yupo hai - So ilikuwa ni Baba wa Mvulana na Mke (wa zamani) wanaoezesha na Baba wa Mvulana na Mke (Mpya) wanaoza - Baba ali-play single role!

Daahh
Kweli huu
ndo mwaka mpya
na mambo yake mapya..
 
Huku tunakoelekea tuna copy na kupaste kila kitu,
hao ni ndugu kabisa wala haipendizi kuoana
 
Kwa Tanzania hawawezi kuoana kisheria. Sheria ya ndoa (1971) inaorodhesha makundi ya watu watu ambao hawawezi kuoana. Miongoni mwa hao ni "step brothers and sisters" na "half brothers and sisters". Sasa hawa wako ni step brother na step sister.
 
Hizi ni tamaa tu uoane na nduguyo wa kufikia sidhani kama inaleta maana yeyote
 
Hawa wanaweza kuoana kabisa hakuna kizuizi. Mbona waarabu wanaoona hivo mtoto wa baba mdogo na mkubwa? hawa sio ndugu kabisa kama una wasi wasi ondoa na tualike tusherekee hiyo ndoa takatifu. Na mbinguni utakwenda una makosa kabisa.
 
Hapana, haipendizi kwa kweli.
Tusifanye tu kwa sababu sijui, Waarabu, na Wamarekani wanafanya hapana.
Lazima tulinde heshima na tamaduni zetu pia. Kwani wanawake wamekwisha, hadi umuoe huyo dada ako?
Kwanza ushamwita dada wa kufikia, hilo neno dada/kaka linabeba kitu kikubwa pia.

Nahisi ndo maana, kwa uhalalisho huu unaoonekana, baba anatembea na binti wa mke wake kwa sababu tu yeye hajamzaa.
Sio vizuri haya mambo, Eee mwanadamu uliye umbwa kwa sura na mfano wa Mungu.
 
Afro toa maelezo yakutosha banaa. lakini hata ukikaa mwaka mzima hutapata jibu. kifupi hawa hawahusiani kidam wala usaha. sasa vipi wasiowane kama baba kamuoa mama ya msichana sio kuwa ndo wamekuwa ndugu huyo mama anahusiana nini na mvulana mpaka useme tayari wamekuwa ndugu? kama watu kuishi nyumba moja basi mmekuwa ndugu vip wapangaji wenye kupanga wanaopanga vyumba katika nyumba moja inakuwa nao ndugu? kijana kama unampenda mtoto wa mume wa mama yako fasta chukuwa kabla jamaa hawaja haribu
Mmmhhh
wanaweza
lakini is not acceptable
This is incest..

In my opinion
Ndugu si lazima
Mtoke tumbo moja
Hawa wawili wazazi
Wao wamesha oana
tayari wao ni ndugu
Na kama wanaishi nyumba..
Moja automatic wamesha kuwa kaka na dada
 
Back
Top Bottom