Je, roho inaweza kujidhuru?

Niliwahi kuambiwa kuwa hiyo ni ndoto inayousika na ukuaji wa mwili yani kurefuka. Nikuaga naota sana wakati nipo kwenye huo umri.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa hiyo ni ndoto inayousika na ukuaji wa mwili yani kurefuka. Nikuaga naota sana wakati nipo kwenye huo umri.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Kuna watu huota wamekufa. Yaani anaota kafa alafu watu wanamlilia. Hii ikoje mkuu.
Hii nimewahi kuota tena nikawa najiona wanalia naona msiba ukaisha narudi home nakuta picha zangu ukutani ila wao hawanioni.... Nimeota zamani sana hii sijaielewaga hadi leo.
 
Hii nimewahi kuota tena nikawa najiona wanalia naona msiba ukaisha narudi home nakuta picha zangu ukutani ila wao hawanioni.... Nimeota zamani sana hii sijaielewaga hadi leo.

Tubu kwa Mola wako wewee!!!
Hio ni ishara tosha kua ulikufa familia inakulilia ww unawaona lkn wao hawakuoni
Kama kweli ndoto hio uliipata UJUE UMEPENDELEWA SAANA,KWAMAANA HIO TUBU NA UTUBIE MADHAMBI YAKO MKUU
 
Bro mshana bnafc nkupe pongez mkuu mana seemz like ww ni mbobezi ktk mambo hizi....

Well kna ndoto 1 nliota iv majuz kwamba roho tyar ilikwshatoka bt nkasemezana n mungu kdg kwmb:

"mbna unanichukua bdo mapema iv baba... Samahan, naomba unirudshe, bdo nahitaj kuwepo dunian... "

ghafla nlijikuta pumzi imerud kwa ghafla n kwa shida sana, machon nkawa naona giza tu ila baada ya kam dk1 iv nayo yakafunguka pia nkawa naona poa....

Sasa nkuulize swali, hii ndoto kulingana n mada yako hii, inawezekana hii kitu ilintokea kweli? Kwamba kwel roho ilinitoka n kisha ikanirud?

Mana kiukwel mpk dk hii bdo siamin amin kam npo hai bro kwa ambacho kilikua experienced ckuile ucku,
 
Hiyo ni ndoto ni kubwa sana na katika ulimwengu wa roho kulikuwa na mawasiliano na mbingu, patano ulilofanya lile ombi kuna utume unatakiwa kuutimiza... Ndoto hiyo inaweza kujirudia
 
Mkuu Mshana Jr. Sir,
1.A.Roho Ni nini?

B.Roho ya mwanadamu ni spirit au soul?

C.Roho inakaa wapi ndani ya mwili wa mwanadamu?

2.A.Mind (nadhani ni akili) ya mwanadamu,Ina tofauti na roho?

B.Umesema roho inaondoka tukilala.
Je kuna uhusiano Kati ya conscious(sjui kwa kiswahili,yani ile hali ya kujua na kuelewa mwili wako,mazingira na maamuzi yako) na roho?

NB.nimeamua kutofautisha kidogo conscious na mind nikiamini kuwa conscious ipo Mara nyingi mwanadamu anapokuwa macho au labda kama hajazimia na inapungua/kuondoka akiwa amelala n.k
Ila conscious Ni sehemu mojawapo ya mind,nyingine zikiwa ni subconscious na unconscious mind.

3.Kutokana na elimu ya darasani tunaambiwa Ubongo unaendelea kufanya kazi hata tukilala,yani ubongo haulali kamwe,
A.kwa hiyo bado na mind ipo?
(Nikimaanisha subconscious na unconscious mind?)

4.Mind kama mind au akili kwa ujumla inajumuisha hisia za mwanadamu,maamuzi,mawazo,uelewa,n.k
Tunapolala psychologist wanatuambia mind inahusika kutengeneza picha na kuunganisha matukio mbali mbali au kujibunia vitu n.k na hivyo binadamu huota.Ndoto hizi hufanya watu kulia,kucheka au hata kujikojolea wakiwa wamelala.
Yani Ni kama mwanadamu unapokuwa macho ila bado unavusha au Una imagine vitu vingine hata havieleweki.
Sometimes mpaka mtu anakushtua we umezubaa unawaza.
Au mtu anajikuta anacheka mwenyewe.

Je,hii hali ya akili (kwa kutumia ubongo kama hardware yake).. kuaffect mwili kwa namna mbalimbali sanasana ndoto;
a. Inamaanisha ni uwepo au kutokuwepo kwa akili?
b.Au roho?
c.Au vyote kama vitu viwili tofauti?
d.Au vyote kama kitu kimoja?

Swali la mwisho pleeeeeeease
5.Sayansi inatueleza hatua ya mwisho kabisa ya mwanadamu kufa ni kupoteza kabisa fahamu mbali na moyo kuacha kusukuma damu(yani cardiac arrest).
Kuna watu waliobahatika kuamka tena baada ya cardiac arrest na wakaelezea kuwa walikuwa conscious na waliweza kuona vitu mbalimbali.
A. Je,kwa mantiki hiyo,akili ya mwanadamu yani kumbukumbu zake na hisia huishi baada ya kifo au hufa na mwanadamu?

B.Kwa sisi Wakristo neno la Mungu linasema mtu aliyekufa Hana hisia zozote...Nina biblia ya kingereza hapa ninanukuu 'Yes,the living know they are going to die,but the dead know nothing...their loves,hates,passions,all died with them.They will never again take part in anything that happens in this world'
Mhubiri 9:5-6

a.Sulemani anamaanisha kuwa mwanadamu akifa na akili yake hufa.Kwasababu akili ni hisia,mawazo,mipango n.k
Kwa hiyo mantiki inamaana
Kama mwanadamu anaishi akifa,je kinachoishi ni nini?
Roho? Na kama ni roho isiyokuwa na hisia..Basi inamaana tutakuwa hatujielewi kama tulivyokuwa hatujielewi tumboni mwa mama zetu au kabla ya hapo?
Maana Hamna anayekumbuka alichokuwa anakifanya tumboni kwa mama yake au kabla.

b.Na kama tunaamini hukumu..tutahukumiwaje tukiwa hatukumbuki tuliyoyafanya?

c.Na je roho zetu basi,zilikuwepo kabla ya uumbaji wa mwili tumboni mwa mama zetu,au baada ya uumbaji wa mwili?
 
Roho ni pumzi ya Mungu ipo ilikuwepo na itakuwepo milele

Asante kwa maswali mazuri na uchambuzi wa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…