Je roho aliyetajwa kwenye Quran tukufu ndiye yuleyule aliyeshuka siku ya Pentekosto?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,235
4,765
Je roho aliyetajwa kwenye Quran tukufu ndiye yuleyule aliyeshuka siku ya Pentekosto? Ndiye roho wa Utatu Mtakatifu?

Wadau na Wanzazuoni nimeweka nukuu hapo chini kwa rejea yenu:

40:15 - Yeye ndiye Mwenye vyeo vya juu, Mwenye A'rshi. Hupeleka Roho kwa amri yake juu ya amtakaye katika waja wake, ili kuonya kwa Siku ya Mkutano"

Ndugu Wanzazuoni je huyo ROHO ndiye aliyeletwa na Bwana wetu Yesu Kristo siku ile ya Pentekosto? Je ndiye roho anayeunda Umoja wa Utatu MTAKATIFU? ( Holly Trinity)

Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na ushahidi wa kimaandiko huku tukielimishana
 
Ni malaika jibril au (gabriel
 
Ni malaika ambao hutumika kupeleka ujumbe wa mwenyezi Mungu kwa watu kupitia manabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…