Je, Rais Magufuli atahudhuria kikao cha UN General Assembly cha mwaka huu?

Sasa si umshauri Tanzania ijitoe UN!! Mabalozi na wasaidizi wa Rais waende kufanya nini kwenye chombo kisicho na tija kwa Tanzania?
 
Sasa si mkubwa anasema anapambana na mabeberu? Aende kutumia hiyo platform kusema hayo unayoyasema ili dunia itambue msimamo wa sasa wa Tanzania. Na alisemee pia hilo la UN kutokuwa na faida kwa Waafrika.

Aende ake-speak against the power kwenye masikio yao.
 
Kwa hiyo Rocket man ndiyo idol wake?
 

acha umaskini

no need of UN bana

au asipoenda wanamfanya nini?
 
UNGA ni mahali pa kupiga soga tu maamuzi yanafanyika SC hivyo kwenda nikupoteza muda na radilimali, tuna balozi mkazi kule atatuwakilisha
 
Ni bora asiende, akienda atafika salama kabisa, ila wakati wa kurudi ndege atakayopanda ikifika usawa wa Bahari ya Atlantic itapotea jumla Kama ile ya Malaysia.
Naandika Kama utani lakini huo ndo ukweli wenyewe na yeye analijua hilo.
 
Yes na aende akashawishi kiswahili kiwe lugha ya UN. Lakini akiambiwa ateme mayai atatema majongoo ya zey ze cataryist is thamsing zat! Laana ya Ben 8hours inamtafuna!!
 
Tofauti ni kwamba huyo mtu mmoja sio kama wewe a "non entity"; the art of communication, articulation na delivery are critical issues on the global stage if you want anyone who matters to notice and you to be heard and to be taken seriously;
Tanzania's once immense outstanding status at the global stage did not simply evolve, Mwalimu mastered the gift of the gab, and was impressive to the global audience; you can not underestimate the impact and effect of a good, logical and articulate performance. English is the Kiswahili of the world, you can underrate it at your own peril!
 
Eeeh! Kuna aliyekitaja kingereza hapa? Nimesema jiwe hajui lugha yoyote ya duniani huko. Iwe kichina, kirusi, kingereza, kijermani, kihispania ama kiyunani. Hajui.!!


Hata kiswahili hajui pia nini lugha za duniani?
 

Jamani kwanza nikiri una mahaba ya dhati na JPM. In Love life we call it „Love hate relationship „. Lakini pili nikupongeze kwa kutaja Korosho. Ni dalili Njema kwamba entweder unalima oder unafanya biashara hiyo. Kwamba Niamini una nia njema na wakulima Wa korosho kuliko JPM. Hapana. Wewe ni mnafiki Mmoja ambaye unatumika kufanya Yale unayotumwa 7/24 Stunden. Why neno kutumika. Ni kwa kuwa Hakuna mwanadamu duniani ambaye ni mbaya tu. Hana jema. HAKUNA. Hata Hitler pamoja na yote tunayojua lakini ndo kawafanya hawa wajerumani kuwa wafanyakazi hodari sana. Hakuna mdhaa Katika Kazi. Sijui Mwaka Gani ziara za Nyuma za viongozi zilibadilisha maisha ya mtanzania. Tajiri siku Zote ni faida na sio Hasara at the cost of maskini. Punguza ujinga kasome historia ile ya O level. Itakusaidia. Najua nia yako ni kumention jina JPM katika uzi wako ila tumia akili kidogo. Life is to shot to dwell on stupid and unfruitful endeavors. Hujawahi Pongeza.

Tatu na mwisho. Please wake up from whatever sleep you are enjoying. Maisha ni Kazi na maamuzi magumu.
 
Vyandarua hujui kama vimezuia vifo vya wakina mama wajawazito maelfu kwa maelfu
 
URAISI NI TAASISI, SI MALI YA MTU MMOJA,UNAPOPATA KIONGOZI WA TAASISI HII AKAFANYA MONOPOLY YA MAAMUZI YASIYOKUWA NA AFYA KWA TAIFA ,UNAIREJESHA NCHI NZIMA NYUMA KWENYE UWANJA WA KIMATAIFA NA KIDIPLOMASIA.
AIDHA UNAIONDOSHEA HESHIMA NA KUAMINIKA MBELE YA JUMUIA YA KIMATAIFA,ENDAPO WATANZANIA WATA MUACHIA KIONGOZI WA AINA HII AKWEPE VIKAO MUHIMU KAMA HIVI,ITATUGHARIMU MIAKA MINGI IJAYO BAADA YA KUWA MTANGULIZI WAKE ALIACHA 'LEGACY' HUKO MAJUU YA KITANGAAZA TANZANIA NA HATIMAAE UMAARUFU WETU UKAPAA SANA NA MARAFIKI WAKAONGEZEKA NA MAADUI WAKAPUNGUA NA HESHIMA KAMA TAIFA NA KUATA STAHA YA AINA YAKE,HATA PALE TUNAPO FANYA MAKOSA ,BASI HULAUMIWA KIDIPLOMASIA ZAIDI NA KWA HESHIMA.
JIWE ANAPASWA KUBADILIKA NA KUISHI KIMJINI ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…