Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Professor Kabudi ameteuliwa juzi juzi kuwa Mbunge. Na hajaapishwa, anateuliwa leo kuwa waziri.
Je, Rais anayo mamlaka ya kumteuwa mtu Uwaziri, wakati hajala kiapo cha ubunge?
Je, Rais anayo mamlaka ya kumteuwa mtu Uwaziri, wakati hajala kiapo cha ubunge?