Je Rais ajaye Tanzania ataliona hili?

Je Rais ajaye Tanzania ataliona hili?

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,494
Reaction score
6,525
Hivi ndivyo ambavyo watanzania wanaumia nchi ni maskini na kinachopatikana pia tunaona viongozi wetu wakiwa bizz kila mmoja na upande wake safari za nje wananchi waendelea na kuumia na kuungua na jua.

154555_800739383317470_3209673996367156535_n.jpg
 
Ama kweli masikini na watoto wake na tajiri na mali zake na tafakuru na utafakari nini sasa kifanyike na mwenye macho hambiwe tazama
 
Back
Top Bottom